Kenyans be like!!

in #canaanmanenos7 years ago

Tukifika Canaan sitaki mchanganyikiwe kila mtu shika tribe yako
Walevi mtakuwa Waleviticus
Wale wa kuitana Baby mtakuwa Babylonians
Wa kuvaa hood mtakuwa waya-hoodie
Madem wana haga big watakuwa Haggai😂😂
Wale wa kupenda salon watakuwa Thesalonians
Waluhya wa ugali ndio Wagalileyo
Mafisi tutakuwa Wafilisti😂😂😂