Sort:  

Sio mbaya coz kama hii sahii nimelipa 0.7 SBD for hizo upvotes zote so post inakaa imeonekana sana alafu inaget points mob.

Asante kwa follow

Hii story mnachapaje kwa wall bana? si mchapie kwa fbb inbox ivi bana ama mkule mareject

Ndo maana tunabonga swa bro